Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Shy-Rose Bhanji amefanikiwa kuwa mmoja wa wagombea 10 waliopitishwa kati ya 31 na Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM-NEC kugombea Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM NEC Tanzania bara. Katika kinyang'anyiro hicho Mh. Shy-Rose Bhanji anapambana na baadhi ya mawaziri na viongozi wa juu wa chama hicho.
Home
Unlabelled
SHY-ROSE BHANJI KIFIMBO JUU KATI YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI NDANI YA CHAMA CHA CCM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Shy-Rose is a handsome woman, FACT.
ReplyDeleteMDAU WA MWANZO UMEKUSUDIA NINI KUSEMA HANDSOME WOMAN WAKATI HILO NENO HANDSOME LINATUMIKA KWA SIFA YA KIUME NA SHY ROSE YEYE NI MWANAMKE UMETUCHA KWENYE MATAA HABU TUJULISHE MDAU MWENZETU HAPO JUU NA KWA NINI ASIWE HANSOME WOMAN WAKATI YEYE NI CHOTARA CHOTARA WA KUCHANGANYA CHANGANYA HA HA AHA
ReplyDeleteNadhani mdau wa kwanza, Handsome woman alikuwa anamaanisha beautiful woman hasa ukizingatia kiingereza chetu cha kuungaunga kama TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT PRESIDENT JOB
ReplyDeleteI agree with mdau wa tatu.
ReplyDeleteJamaa itakuwa amekanganya mambo hapa.
; )
Mdau wa kwanza(Mimi) sijakosea kabisa kutumia handsome woman, though rarely used, but it is a perfect matured use of this adjective.
ReplyDeleteMdau wa pili, hongera kwani machale yalikucheza.
Mdau wa tatu na wanne,kama hujui matumizi ya maneno uliza.
I specificaly wrote that in order to tease out some reactions from uninformed chaps.
HANDSOME WOMAN;
1:"A woman with kind of refined beauty and attractiveness that requires poise,dignity and strength of mind and character,things that often come with age; not merely sex appeal".
2: A very attractive Woman.
This phrase is old, but still used admittedly rarely.
Mwisho wa somo.
Nadhani Mdau amemtaja SHY-ROSE kuwa HANDSOME kwa ile mentality kuwa huyu dada yupo kamili kama DUME kwa vile anavyoendesha mambo yake.
ReplyDeleteNi jambo gumu sana kwa mtu wa kawaida kutafuta kitu akawa anachelewa kukipata na akazidisha jitihada hadi akafanikiwa kama alivyofanya Shyrose Bhanji katika mchakato wake kuelekea kuupata Ubunge!
HANDSOME Shyrose Bhanji,
ReplyDeleteNi dada jasiri sana kwa kweli!
Huyu dada ni DUME kwa msuli wake ktk kustahimili heka heka za kuwania Uongozi , sio mchezo!
Ndio maana Mdau amemwita Handsome, kwa kuwa kwa wengi wetu tukiwemo wanaume wenyewe tusingeweza kama alivyo fanya yeye kustahimili kushindwa ktk kugombea na kurudia tena kwa kugombea mara zaidi na zaidi hadi kushinda!
Wengi wetu tungeshakata tamaa na kaunza kujiuzia Vocha za Simu ama kufungua Duka la maji ya chupa ya Uhai ya jumla baada ya kugombea Uongozi kwa mara ya kwanza na kushindwa!