Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza machache katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi yanayoendelea katika ukumbi wa ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge. Maonyesho hayo yanaendelea mpaka ifikapo Oktoba 4, 2012.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez akieleza machache kwa wageni waliokuwa wamefika katika maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Mancom Centre, Constantine Magavilla akiwakaribisha na kuwashukuru wageni waliokuwa wamefika katika uzinduzi wa Tigo Mama Afrika Sarakari.
 Moja ya michezo iliyovutia katika Tigo Mama Africa Circus inayoendelea katika ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge.
 Huyu kijana anauwezo wa kuendesha baiskeli ya tairi moja.
... ilikuwa ni maajabu na kweli.
 
Kijana mwingine alionyesha umahili wake ni huyu kama vile unavyomuona.
Michezo ya kamba nayo ilikuwa ya kuvutia.
 Mchezo mwingine ulikuwa niwa kurushiana vikapu ya kutimia miguu.
 Vijana wakionyesha uhodari wao wa kupaa juu.
 
Vijana wakiaga mara baada ya onyesho kumalizika.
 
Wanamuziki wa Bendi ya Inafrika nao wakiaga, kazi yao kubwa ilikuwa ni kusherehesha wakati vijana wakiendelea na onyesho.
 Umati mkubwa wa watu uliojitokeza katika maonyesho hayo.
 ...Watu walipata fursa ya kubadilisha mawili matatu. Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa www.kajunason.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. samahani kaka michuzi mimi roho hua inaniuma sana ninapoona madencer wanavaa nguo za kwaida badala ya kuvaa nguo zenye rangi ya bendera yetu hapo wapo watu wa aina mbalimbali picha zinatembea mtandaoni wataitangazaje nchi kama hawatumii rangi au vitu vinavyo itambulisha nchi yetu.kama hao wana sarakasi wangevaa rangi za bendera yetu ingependeza sana kwani hawa waoni wenzao wanigeri au wamarekani bila kuweka rangi ya nchi yao wanaona hawaitambulishi nchi yao vema.waambie bwana michuzi kama utabahatika kuwaona maartist au wasanii wote kwaujumla wewe ndio unaweza kuwa ona sisi tupo mbali nje ya nchi inatuuma sana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...