Home
Unlabelled
vipi tena ras makunja, staili gani hii...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahahahaha huyo polisi aibu yake.
ReplyDeleteHuyo Zebedayo vipi hapo chini?!.
ReplyDeleteAkina makunja huwa wanapuliza kwanza kabla ya kwenda kwenye shughuli, inawezekana alizidisha kiwango..
ReplyDeleteBange mbaya bange, tunawaambia kila siku acheni kijiti!
ReplyDeleteItakuwa mlevi tu!
ReplyDeleteDereva amekosea bora angerudi nyuma na kumkanyaga kabisa kudadeeeekkkk.
ReplyDeleteInabidi wawe wanapimwa kila mara kama wachezaji mpira kujua kama wamevuta au kutumia kilevi, maana huwa wanafanya vitu vya ajabu visivyotarajiwa, kulipua mabomu ovyo au kama katika picha hapu juu haingii akilini kabisa.
ReplyDeleteLooks like they are about to Rodney King his ass, lol! Just kidding
ReplyDelete
ReplyDeleteHivi magari ya polisi na wanajeshi hayawezi kufika inakoenda bila kufanya vurugu barabarani? wakibeba maiti vurugu, wakienda lindo vurugu wakiwa doria vurugu. Wanakufa kila siku katika ajali hawajifunzi. Kamanda washauri vijana wako
Unajua akina Ras Makunja hizi ndizo zao wakiupiga muziki wao wanaondokaga kiaina aina katika miondoko heti ya bongo tambarare
ReplyDeleteAkina Ras makunja hii ya leo mmetoa mpya tena sebene hili kubwa kuliko yote,hongereni sana wazee wa bongo tambarare
ReplyDeletemi nilitaka iwe wanawakimbia CHADEMA AU CUD AU UAMSHO halafu mmoja ndio anabakia ningefurahi hizo sifa zao.
ReplyDeleteeti zebedayo !!! we , nitakufuata huko huko UK nikubonde,muulize Mashaka tumesoma naye,ila mwenzangu alipenda sana kizungu ,mimi nikabezi kwenye kiswahili,kwa hiyo mimi na yeye ngoma bila bila,ila yeye kanizidi kifeza. Zebedayo msema kweli
ReplyDeletewanakimbia uamsho kule zenj
ReplyDeleteMimi nadhani wanawawahi uamsho na jamaa ana usongo nao sana hakutaki kubakia nyuma..
ReplyDeleteAibu kubwa kwa jeshi letu... haya mambo ya kipuuzi wataacha lini? Utadhani watoto... inanikera sana. Matokeao yake hata kwenye kazi wanafanya masihara hivyo hivyo na kuumiza watu bila sababu! bora waumizane wenyewe kwa wenyewe!
ReplyDeletekamanda Ras makunja washauri vijana wako wapunguze madoido,huu muziki wenu nakubali kila penye fujo
ReplyDeleteakina ras makunja uneunguaji huu sio mzuri mnaweza kupoteza maisha
ReplyDeleteHakuna nini wala nini hapa alikiwa anafanya majaribio kama 'madaruga ya magotini' yanafanya kazi endapo ataangauka akiserereka?
ReplyDeleteWala hajazidiwa na ulevi wowote ule, mchezo,,,mtoto wa nyani anaweza kuponyoka kutoka tumboni mwa mama yake?
Ni kiasi cha Mafunzo kwa vitendo!
Huyu alikuwa nje ya timing za kudandia Difenda matokeo yake anaiona joto ya jiwe!
ReplyDeleteInawezekana hapa waliingia kichwa kichwa ktk eneo la tukio na sasa wamezidiwa Dereva ameona akanyage mafuta bila kuoangalia kama wenzake wameshapanda sasa wanakula kona!