Bwana harusi mtarajiwa Allen na mkewe mtarajiwa Veronica Stima wakienda mbele kwa ajili ya utambulisho.
 ...akilishwa keki na mtarajiwa wake
 Bibi harusi mtarajiwa akiaga wazazi wake, kujitayarisha 
kuungana na mwenzake. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wazazi wa bibi harusi nawapa hongera kubwa shughuli ilikua nzito imependeza sana binti atakua amejisikia kweli veronica umetokelezea kwa sana gold na purple imewaka vizuri big up na aliekupamba amekutendea haki pendeza wewe, hongera zenu maharusi mungu awatangulie katika maisha yenu ya ndoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...