Askari wa Jenshi la Polisi wakilazimika kufanya kazi ya wanahabari kwa kupiga picha
mabango yaliyokuwa yamebebwa na wanahabari hao waliokuwa kwenye maandamano ya kumlilia Mwandishi Mwenzao,Marehemu Daud Mwangosi aliefariki Mkoani Iringa hivi Karibuni.
Wanahabari wa mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandamano.
Wanahabari wakiwa na mabango yenye jumbe mbali mbali.
Mwandishi wa habari mkongwe,Nechi Lyimo aliyeketi kwenye pikipiki,jana alilazimika kutoka hosptali alikokuwa akipatiwa matibabu na kuja kuungana na wanahabari wenzake katika maandamano.
Wanahabari wakitoa matamkpo mbamlimbali.Picha na Dixon Busagaga,wa globu ya jamii,Moshi.









Tumeona hisia zenu sawa, je rambirambi kwa familia? Actions speak louder.....
ReplyDeleteMMEANZA NA MWANGOSI MTAMALIZA NA NANI?
ReplyDeleteJibu ni kuwa watamaliza na Mwanahahari wa mwisho!
Baada ya kuwateketeza woooote Jukumu la Habari wanataka liwe ni la POLISI?
Pigeni vita police brutallity kwa Tanzania na sio Mwangosi peke yake aliyeuawa na polisi. Raia wengi wanakufa TZ kwa kuuawa na polisi.
ReplyDeletePolisi wanaruhusiwa kutandika watu, kupiga vibao, mateke, makwenzi.
Ninaposimamishwa na polisi wa USA nilipo najisikia amani sana kwakuwa ataniuliza vitu basic na kunipa ticket kama nimekosea. Bongo yani polisi anaruhusiwa kukusachi kama unapesa, kukuonea, kukupiga.
Msimlilie Mwangosi peke yake. Kiwe kilio cha taifaaaaaaa kwa polisi kunyanyasa raia
ITIKADI ZETU ZA VYAMA ZISITUPONZE WAPIGA KURA TUWE MAKINI SANA MWENZETU KATUTANGULIA WAHESHIMIWA WAO SALAMA SALIMINI INABIDI WAZEE WA KAZI WAKI INGIA TUFATE AMRI YA SIRIKALI KWANI NDIO TAWALA
ReplyDeleteKUWAMAKINI YALA BINAFSI TUSIWE VYAMBO