Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Hiyo ni DAR. Bongo Tambarareee!!!!!

    ReplyDelete
  2. Ghalib MbondeSeptember 11, 2012

    Picha imepigwa kwa ustadi mzuri sana ni kariakoo ukitazama kutokea morogoro Road au niseme kati ya makutano ya Lumumba road na morogoro Road. huo uwazi wa bustani ni mnazi mmoja. kingo hiyo ya barabara ni mtaa wa lumumba. kwa ufupi ni maghorofa ya karikoo Dar Es Salaam Republic of Tanganyika Part of the united Republic of Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Kwa vyovyote itakuwa ni Dar tu,mji uio na miti wala uoto wa mimea kuufanya mji kowa green.Inasikitisha sana.Laiti tungeweza kuwa na sehemu kama eneo la IFM,Tanesco HQ mpaka ofisi za balozi za EU mji/miji (u/i)ngependeza na tungejivunia kuwekw picha nzuri siyo hii picha ya kusikitisha kuonyesha umasikini wetu wa kukata miti ili tu eti "vikwangua hewa" vionekane.Kweli bado tuko mbali sana.Mwanza kulikuwa na mti mkubwa karibu na BOT,kwenye round about,wa miaka mingi sana, na kihistoria Wajerumani walinyonga mababu zetu hapo,leo hii haupo tena,umekatwa!!!ili tu view ya vijighorofa ionekane.Hivi huwezi kulia??kwani kuna ubaya gani hizo ghorofa zikiwa zimefichika kati ya miti kama inavyoonekana maeneo ya IFM,Makumbusho na hizo sehemu nilizozitaja hapo juu?Michuzi siku-critisice kwa kutoa hii picha ila najaribu kuelimisha mtizamo wetu.Tafadhali usibanie maoni yangu.

    ReplyDelete
  4. Rio Brazirl.zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  5. Wote hapo juu mmekosea! Hapo Ni mji wa MOshi tena imepigwa kutokea maeneo ya KCMC na KIbosho

    ReplyDelete
  6. Gharib Umepatia. Ule uwazi mbele kulia ni kiwanja cha kidongo chekundu. Dar Tambarare

    ReplyDelete
  7. Khaaa kweli wote hamjui dar hivyo viwanja vya mnazi mmoja na kwa huku juuu ni Mtaa wa lumumba na kwenye kona ya huku mwanzo wa picha kulia ni pale mataa ya kwenda CBE na DIT. Inamaana Dar wengi wageni

    ReplyDelete
  8. Kigoma kwa Zitto Kabwe

    ReplyDelete
  9. Hii picha imepigwa kutokea Ghorofa Jipya la pale Umoja wa Vijana ndio maana unaona kiurahisi uwanja wa mnazi mmoja, anatoglo(ofisi za manispaa ya ilala)ukiangalia vizuri utaiona junction ya bibititi/morogoro road, mataa ya mnazi mmoja na kiwanja cha kidongo chekundu kule mwishoooo.
    michuzi nakudai zawadi yangu.
    Nyanda

    ReplyDelete
  10. Mabwepande!

    ReplyDelete
  11. Hapo ni kijijini kwetu Msoga, hapo katikati ni viwanja vya michezo na hizo nyumba ndio kijiji cha mkuu wetu.

    ReplyDelete
  12. hapo ni bongo maeneo ya mnazi mmoko mpaka barabara ya bibi titi mohamed! kwa mtaji huu bongo lazima iwe na majoto ya kufa binadamu! kudadadeki nnnaaaaaaa baaaaddddo!

    ReplyDelete
  13. Hapo ni tandahimba mwaka 2030, bisha!

    ReplyDelete
  14. Beyond 2075:

    Hiyo ni Darisalama ya mwaka 2075 kipindi ambacho tutakuwa makaburini muda kitambo tu!

    Wengine muda huo tutakuwa na Miongo kadhaa ndani ya makaburi!

    Kufikia huko kazi ni ndogo?

    ReplyDelete
  15. wanawajengea CHADEMA ili waje kutaifisha. Nasikia wana mpango kabambe wa kutaifisha majumba yaliyouzwa na serikali. Sijui watarudisha na zilizotaifishwa ambazo zinaunda shirika la Nyumba na Serikali kwa wenyewe wahindi. HIzi nyumba zilizotaifishwa ni dhuluma. Sasa wahindi wanajenga tena kama hawana akili nzuri Upanga. Na hawaelekei kuhama Tanzania labda wafukuzwe kama Iddi Amin alivyofanya kitendo ambacho Uganda wanakijutia leo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...