Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Laki 8 kwa mshindi wa pili wa shindano hilo, Flavian Maeda.
Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Laki 7 kwa mshindi wa tatu wa shindano hilo, Catherine Masumbigana.
Washindi wan ne wa kwanza wa Redd’s Miss Temeke ambao wote wamepata nafasi ya kushiriki shindano la Taifa la Redd’s Miss Tanzania wakiwa wameshikilia vitita vyao mara baada ya kukabidhiwa jana na mwandaaji wa mashindano hayo, Benny Kisaka. Kwanza kulia mshindi Edda Slyvester, Flavian Maeda, Catherine Masumbigana na Jesca Haule.


bwashekh mithupu hawa wanapatikana kwa email?
ReplyDeleteVIBAKA WANAWEZA KUWASUBIRI NJE YA OFISI. HAYA MAMBO YA NOTI HADHARANI BONGO TUMEKUWA NIGERIA? INAWEZA KUWA WANAONYESHA HALAFU WANANYANG'ANYWA. HII SIO USHAHIDI KWAMBA WAMELIPWA. ACHENI HIZO, JE KAMA NI NOTI FEKI?
ReplyDeletewadada wanajilazimisha kuwa na kicheko cha kimiss ukiwaangalia kwa makini hawana kicheko cha kikweli hahahahaha
ReplyDeleteankali mithupu usitoe data zao hao wadada kwa huyo mdau hapo juu maana anataka kukaribisha ngono
waungwana sio kila kingaacho ni dhahabu hebu yafikirieni na maisha yenu mwe!
Do we have the knowledge of using plastic money?????????????????? kubeba minoti kama karatasi ni ushamba kwa karne hii jamani
ReplyDelete