Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Hussein Mwinyi kushoto akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Bw Hiiti Sillo kulia wakati waziri wa Afya alipotembelea TFDA leo jijini Dar es Salaam ambapo mkurugenzi.wa TFDA ameiombba wizara ya Afya kuendelea kuwaunga mkono ili TFDA iweze kutimiza jukumu la kulinda afya ya jamii.
Mkurugenzi wa huduma za maabara TFDA Bi, Charys Ugullum akimuelekeza waziri wa Afya Dk Hussein Mwinyi, namna Maabara inavyofanya kazi yake ya kupima madawa na chakula.
Kaimu Mkurugenzi wa Dawa na Vipodozi TFDA Bw, Henry Irunde akimwonyesha Waziri document inayoelezea majaribio ya dawa mbalimbali zikiwemo dawa za kienyeji.PICHA NA Elisante William.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...