Home
Unlabelled
Bar za sinza hazifai wallahi tena,,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! nilifikiri ni mimi peke yangu ilinitokea, kumbe tuko wengi!!! basi naona haka kautaratibu kameshakuwa maarufu!!!!!!Kweli Sinza kwa wajanja!!!
ReplyDeletewe jamaa sio mstaarabu kabisa, huo ni ushamba, kwanini unaweka namba yake ya simu hadharani? kama alikutaka wewe kwani ni lazima umtangazie kwa kila mtu? Ushambastan huo
ReplyDeleteBoooonge la PROMO!!!...Sipati picha huyo baamedi atakavyopigiwa sim lukuki na wanaume wakware.Maana sim yake inapatikana na mie nimemcall yuko hewani...kaaaaz kwelikweli.
ReplyDeleteHiyo ni hali mbaya, anatafuta unga.
ReplyDeleteHa ha ha...............a
ReplyDeleteAah wewe vipi?Kwanini usiende ukaruka naye tu.Mbona mwake tu
ReplyDeleteugumu wa biashara makes this sort of craetivity...go go mdada!
ReplyDeletewewe siamini kabisa!!! april mosi imeshapita unajua hilo?
ReplyDeleteFatuma anafanya 'marketing'. Ale wapi? Yeye ni muhudumu wa Bar na kila siku lazima atoke na mwanaume ili kujikimu na maisha. Yaani UKIMWI hautakwisha kwa style hii. Na ajabu sasa hivi wanawake ndio watongozaji wakubwa! Nimeamini mwisho wa dunia unakaribia, maana ishara zote tulizoelezwa zinaonekana waziwazi kama vile maafa. magonjwa sugu, wahubiri na manabii wa uongo, na mambo kama haya ya akina mama kutongoza, na vijana kutembea au kuoa kina mama wakubwa kwao! Mungu tuepushe na janga hili!
ReplyDeleteUbunifu, nimependa. Hajaiba wala hajatukana mtu ila tu kafika bei...., pungufu unaongea au siyo?
ReplyDeleteAkina Dada zetu fanyeni muwe mnaoleka ili muolewe mkaanze maisha mapya kwa waume zenu!
ReplyDeleteMaisha ya namna hii hayawezekani na hayafai kabisa...
Kama maisha yamefikia hapa ni bora tuombe Msaada wa Mwanzo Serikalini , Msaada wa Pembejeo za Kilimo kama mbegu, mbolea na chakula cha kujikimu na Vocha za Mkulima za mwanzo halafu tuombe kufikishwa Makazi mapya kama kule Mabwe Pande, badala ya Uchangu tukaanze kushiriki Kilimo!
ReplyDeleteKwani Kilimo sio kazi?
Lohhh Mijini kumekuwa kuzito,
ReplyDeleteDada zetu kama ndio hapo sasa rudini Vijijini Mkalime!
Hawa watakuwa wanafahamiana.
ReplyDelete"Kitambi ni aphrodisiac ya nguvu", ana visa huyu bi Fatuma huyu, we mwache tu.Watu wanapiga madongo usikute simu ya fatuma leo ilikuwa bize kweli kweli.
ReplyDeletebalaa kilo tano na nusu.
ReplyDeletentafute BAA DAE :)
ReplyDelete$D
Huyo mwenye simu anaitwa Shamira Mwidini na sio Fatuma kama alivyodai, ukitaka kujua nimejuaje tuone si ma inteligence
ReplyDeleteKaka michuzi hii issue ilitokea mji kasoro bahari a.k.a Morogoro kwenye pub moja inaitwa Snack sio Sinza juzi kati wakati wadau tupo kwenye mashindano ya SHIMIWI na mimi ndo niliyepewa hicho kikaratasi na hadi leo ninacho sasa huyo aliyekupa habari naona alinogewa nayo akaongezea chumvi kidogo na nahisi ameichukua facebook kwenye post ya jamaa zangu niliokuwa nao wakati tukio linatokea!
ReplyDelete