Basi la Abiria mali ya Kampuni ya Dar Express likiteketea kwa moto mchana wa leo maeneo ya Segera baada ya kupata hitilafu ya umeme ndani ya Basi hiyo.hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii japo hakuna mali ya abiria yeyote iliyookolea.
Wananchi wakiangalia masalia ya basi la Dar Express lililoteketea kwa moto mchana wa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Anko,
    Ningependa kuuliza zile fedha tunazochangia fire inspection kila mwaka kiwnago cha chini cha elf ishirini zimetumika wapi? angalau wanunue na kutunza fire moja katika kila wilaya basi...au tz ni shamba la bibi?

    ReplyDelete
  2. NDUGU WADAU HUWA ZAMANI NILIKUWA NAONA NYUMA YA MABASI PAMEANDKWA EMERGENCE DOOR... JE SUMATRA WANASEMAJE JUU YA HILO BASI AMBALO NAONA HAKUNA EMERGENCE DOOR IMEFUNGUKAA?? DAVID MZIRAY TUPENI MAJIBU PIA KWA KUMBU KUMBU ZANGU HILI NI BASI LA PILI KUPATA NA MADHARA KAMA HAYA NA ZILE FIRE EXTINGUISHER WANAZOTULAZIMISHA TUNUNUE HAZIKUZUIA CHOCHOTE.
    HII NIKUONYESHA DHAHIRI KUWA HAKUNA FAIDA YA HIZO BALI NIKUIMARISHA UMAKINI WA KUZUIA UZEMBE UNALETA MADHARA HAYA. HAYA MAGARI YANATAKIWA YAWE NA KIWANGO KIKUBWA SANA CHA KUZUIA MOTO KAMA YANAFUATWA.
    POLENI WAHANAGA WOOTE.

    ReplyDelete
  3. HIZO MALI ZAO WAWALIPE ISIWE KIMYA KIMYA KUISHIA HAPO MAANA WANA INSURANCE SO HAKIKISHA WANALIPWA HAKI YAO LA SIVYO NAIJUA NCHI YETU KIMYA KIMYA ZZZZZZZZZZZZZZZZZIIII NDO IMETOKA HIVYO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...