Marehemu VICTORIA
WILBERT (MRS IMMANUEL KILATU)
Familia ya
Ndugu Japhet Mbwana & Lydia Nkwambi iliyopo Lumala – Mwanza inapenda
kutoa Shukrani zao za dhati kwa Ndugu,Jamaa,Marafiki na wale wote walioshiriki
nao katika kipindi chote cha majonzi ya kuondokewa na binti yao mpendwa VICTORIA
WILBERT (MRS IMMANUEL KILATU)aliye fariki gafla tarehe 02/09/2012 huko Dodoma na baadaye kwenye ibada ya mazishi
iliyofanyika nyumbani kwao Lumala – Mwanza kwa vile siyo rahisi kumshukuru kila mmoja,Tunapenda mpokee Shukrani zetu kwa moyo Mkunjufu – Leo Vicky Anapo timiza mwezi mmoja
Nyumbani kwa Baba yetu wa Mbinguni hatuna cha kuwalipa ila AWABARIKI NA KUWAZIDISHIA
MOYO WA USHIRIKIANO NA UPENDO.
“RAHA YA MILELE UMPE
Eee BWANA”


.png)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...