Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Mohd Said Mohd kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Bi Mtumwa Kheir Mbarak kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Maliasili katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Twahir M. Abdulla kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Mustafa Aboud Jumbe kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi Maji na Nishati katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Julius Maziku kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akimuapisha Juma Ameir Hafidh kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo katika hafla iliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akiwa katika Picha ya Pamoja na Mawaziri na Manaibu Makatibu wakuu aliowaapisha leo Ikulu Mjini Zanzibar. PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...