Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa Mataifa unaoshughulikia Matumzi endelevu ya Nishati kwa wote, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na (Mshauri wa Nishati Umoja wa Ulaya), Bw. Luis Gomez Echeverri, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Faouzi Bensarsa (Mshauri wa Nishati Umoja wa Ulaya).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kutoka Umoja wa Mataifa unaoshughulikia Matumzi endelevu ya Nishati kwa wote, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...