Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiongoza Mkutano wa wananchama  wa kundi la kwanza la Afrika katika mkutano wa IMF Jijini Tokyo-Japan
  Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akitoa maelekezo kwa Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Kamishina Msaidizi wa Fedha za Nje Bw. Jerome Bureta na Afisa mwandamizi Bw. Omary Khama Jijini Tokyo-Japan
 Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu akisikiliza kwa makini mkutano wa IMF  pamoja na maofisa waandamizi Bw. Omary Khama na Bw. Msafiri Nampesya Jijini Tokyo – Japan
 Waziri wa Fedha Dkt.  William Mgimwa akijadiliana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Harry Kitilya,  Mkurugenzi Utafiti Uchumi na Sera Dk.Joseph Leina Masawe wa Benki Kuu ya Tanzania, Ofisa Mwandamizi  Bw. Omary Khama na Bw. Cyprian kuyava wa Wizara ya Fedha baada ya mikutano hiyo ya IMF kwa siku ya leo hapa Jijini Tokyo- Japan.
Dkt. William Mgimwa akiwa na mtangazaji wa Shirika la NHK-SWAHILI Bi Anna Kwamba  awali alikuwa (TBC) baada ya kumaliza mahojiano na Mhe. Waziri juu ya faida za mikutano ya IMF kwa wananchi wa Tanzania hapa Jijini Tokyo – Japan.
 Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa akiwa na Maafisa waandamizi wa wizara ya Fedha Bw. Omary Khama na Bw. Cyprian Kuyava Jijini Tokyo – Japan
Dkt. Mgimwa akitoka kwenye mkutano na ujumbe alioambatana naye katika Mikutano ya IMF Jijini Tokyo- Japan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mgimwa amekaa kibosi wa mafia mafia dizaini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...