![]() |
| Balozi wa Cuba aliyemaliza muda wake hapa nchini, Mhe. Ernesto Gomez Diaz naye akizungumza machache wakati wa hafla hiyo. |
![]() |
| Mhe. Balozi Diaz akifurahia zawadi aliyokabidhiwa na Mhe. Naibu Waziri. |
![]() |
| Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Grace Shangali akitoa neno la ufunguNzi wa hafla ya kumuaga Balozi wa Cuba. |
![]() |
| Mhe. Naibu Waziri akiagana na Balozi Diaz mara baada ya hafla kumalizika. |








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...