Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (shoto0 na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Bertha Somi na mtoto Alice wakiwa pamoja na baadhi ya wadau wa Jumuiya ya Watanzania waishio Canada wakisubiri kwa hamu kumpokea Rais Jakaya Kikwete katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Edmonton  usiku wa kuamkia leo
Rais Jakaya Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Alice (9) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Edmonton  usiku wa kuamkia leo. Pamoja na shughuli zingine Rais Kiwkete atafungua rasmi mkutano wa Diaspora baadaye leo katika ukumbi wa  Fantasyland Hotel katika chakula cha usiku ambacho wanajumuiya hao wameandaa kwa heshima yake
 Taswira za wadau wa Canada wakimpokea kwa furaha Rais Kikwete alipowasili Edmonton usiku wa kuamkia leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Picha nzuri sana na zimependeza, ninaona wivu kuwa Rais hatafika Toronto. Siku nyingine. Mdau Toronto

    ReplyDelete
  2. I am just a curious individual, and I was just wondering does anyone know even roughly how many Bongo citizens are abroad

    ReplyDelete
  3. Just for starters, there are two genders of bongo citizens abroad: males and females. Do you want the total by numbers or what? Just be specific with your qn. Remember, "you are what you ask."

    ReplyDelete
  4. Come on! The CENSUS of 2012 will tell. @Anonymous Fri Oct 05, 08:16:00 PM 2012

    ReplyDelete
  5. jamani...dah!! watanzania wenzangu mie naishi British Columbia(Kelowna) tuwasilianae!karibu sana Canada Mr. President

    ReplyDelete
  6. swali: ukishirikiana na mwivi na wewe mwivi?

    ReplyDelete
  7. Mdau Eliza wa Kelowna, British Columbia tuwasiliane faragha; mwegazi@yahoo.com thanks.

    ReplyDelete
  8. Mdau wa 7.20 PM check u'r email adress,asante sana.Keep intouch.....

    ReplyDelete
  9. Mdau Eliza: Nimecheki lakini sijapokea ujumbe wowote. (Michuzi wacha kubania bwana hii mara 6 sasa naandika, vipi lakini si ulisema ati hii ni blogi ya jamii au?)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...