Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (shoto0 na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Bertha Somi na mtoto Alice wakiwa pamoja na baadhi ya wadau wa Jumuiya ya Watanzania waishio Canada wakisubiri kwa hamu kumpokea Rais Jakaya Kikwete katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Edmonton usiku wa kuamkia leo
Taswira za wadau wa Canada wakimpokea kwa furaha Rais Kikwete alipowasili Edmonton usiku wa kuamkia leo








Picha nzuri sana na zimependeza, ninaona wivu kuwa Rais hatafika Toronto. Siku nyingine. Mdau Toronto
ReplyDeleteI am just a curious individual, and I was just wondering does anyone know even roughly how many Bongo citizens are abroad
ReplyDeleteJust for starters, there are two genders of bongo citizens abroad: males and females. Do you want the total by numbers or what? Just be specific with your qn. Remember, "you are what you ask."
ReplyDeleteCome on! The CENSUS of 2012 will tell. @Anonymous Fri Oct 05, 08:16:00 PM 2012
ReplyDeletejamani...dah!! watanzania wenzangu mie naishi British Columbia(Kelowna) tuwasilianae!karibu sana Canada Mr. President
ReplyDeleteswali: ukishirikiana na mwivi na wewe mwivi?
ReplyDeleteMdau Eliza wa Kelowna, British Columbia tuwasiliane faragha; mwegazi@yahoo.com thanks.
ReplyDeleteMdau wa 7.20 PM check u'r email adress,asante sana.Keep intouch.....
ReplyDeleteMdau Eliza: Nimecheki lakini sijapokea ujumbe wowote. (Michuzi wacha kubania bwana hii mara 6 sasa naandika, vipi lakini si ulisema ati hii ni blogi ya jamii au?)
ReplyDelete