Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Mama Lucy Adam Samilah katika makaburi ya Njiro jijini Arusha leo. Marehemu Mama Lucy, aliyefariki Oktoba 26, 2012, alikuwa ni mtunza nyumba mkuu wa Ikulu ndogo ya Arusha wa muda mrefu
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini
Rais Kikwete akiaga wafiwa baada ya kuhudhuria mazishi hayo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...