KIJANA MMOJA ALIYESHUKIWA KUWA NI MWIZI AMEPATA KIPIGO KIKALI PALE ALIPOKUTWA AKIIBA WHEEL COVER ZA GARI AINA YA NOAH HUKO MAENEO YA KINONDONI USIKU HUU NA BAADA YA KIPIGO WASAMALIA WEMA WALIMUOKOA KIJANA HUYO NA KUMUACHA HURU HUKU KIJANA HUYO AKIWA HOI NA KUKIMBIA KUSIKO JULIKANA.
WANANCHI WA ENEO LA KINONDONI WAKIENDELEA KUMUADABISHA KIBAKA WALIOMKAMATA.
Wheel cover au wheel caps?
ReplyDeleteumeshaelewa wewe anony wa kwanza.unataka kuleta shule hapa.ujumbe uliokusudiwa hapa ni kupigwa kwa kibaka na sii wheel cover au caps.
ReplyDeletewangemuua tu huyo, wanakera sana japo chanzo cha yote haya ni ajira ngumu na zikitokea wanapeana wao kwa wao sisi maskini ambao hatuna ndugu zetu serikalini au wenye wadhifa popote tunakimbilia kuiba..alaumiwe nani-viongozi wa nchi
Duhhh baada ya Msala wa kipigo asubiri mwingine kutoka Ubalozi wa Spain nchini Tanzania kwa kidhalilisha nchi yao!
ReplyDeleteKwa nini?
Ni vile Kibaka amefanya wizi akiwa amevaa Jezi ya Timu ya Taifa ya Spain ambaye kwa sasa ndiye Bingwa wa Ulaya na Dunia !!!
Uhispania imeshiriki wizi hapa!
ReplyDeleteKibaka ameiangusha sana Uhispania kwa jezi aliyovaa wakati wa wizi.
Hivi Bandugu hizi Jezi ama Fulana za Timu tunavaa kwa kujua tunawakilisha timu gani?
l think you understood what he ment to say. The meaning doesn't differ that much.
ReplyDeleteMtaacha lini kujichukulia sheria mikononi, mkiendelea hivyo hatimae hamtaona shida kuua albino au wenye macho mekundu.
ReplyDeleteHahahahaha hii picha itatusababishia maelewano mabaya na Spain baada ya kuona picha ina mchezaji wa Timu yao ya Taifa kwa Jezi akiwa chini, akigombewa kama mpira wa Kona na anapokea kichapo cha Watanzania Kinondoni!
ReplyDeleteVita na Spain tutaiweza mwanawane wakati Malawi inadai ziwa Nyasa bado kamasi zinatutoka?
Italia wana Mchezaji mtu mweusi Mario Balotelli,
ReplyDeleteJe bandugu nao Spain mchezaji wao wa Timu ya Taifa mweusi (KIBAKA) huyo anayepigwa aliyevaa jezi ya Spain chini ndio nani ?
Ni Maganga au Mbonde (mzaliwa wa Tanzania) na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Spain?
Alikuwa anahitajika kupelekwa polisi sio mob justice.Bongo hovyo sana.Marehemu kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza yeye alikuwa anachota mbona hakuna aliyempiga?
ReplyDeleteBwana kaka angalia!
ReplyDeleteWapi ulisikia maisha yanatafutwa kwa kutumia mabavu na kulazimisha kwa wizi?
Je, mpaka ulazimishe maisha kwa njia ya wizi wa kijinga, hivi ulishajaribu ukashindwa kuyakabili maisha kwa kutumia pia akili na jitihada?
Wajameni tuache kuyaendelea maisha kwa mti ndo huu tutakwisha!!!
Watu kama hawa ndio wanaotujazia magereza na mabasi ya Mahabusu wakati Mafisadi wanaheshimiwa na kuendelea kutesa na kutamba Mitaani!
ReplyDeleteViongozi wezi nao wapewe vichapo kama huyu, maana wanakera sana
ReplyDeleteANONYMOUS 2 UTAJUAJE KAMA ANONYMOUS 1 ANAJUA KIMOMBO???? hahahahaha alitaka kuanzisha mjadala mwingineee kabisa na wakati ujumbe umeeleweka
ReplyDelete