Kwa ushirikiano
na
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU
MKWAWA (MUCE)
wanakukaribisheni kwenye
NYERERE DAY (SIKU YA NYERERE)
TAREHE:
Oktoba 14/2012
MUDA:
kuanzia saa 3:30 asubuhi-10:00 jioni
MAHALI:
Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa
UKUMBI:
Mkwawa Assembly Hall
MADA KUU: “Suala la Muungano Katika Muktadha
wa Mchakato wa Katiba Mpya”
Nyote mnakaribishwa


ITV mtarusha live?
ReplyDelete