Home
Unlabelled
Kilimo Kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kilimo kwanza si ya mtu fulani jamani.
ReplyDeleteShenzi kabisa! badala ya kupeleka watoto shule wanawashikisha majembe! Nakumbuka miaka ya 70 na 60 wazee wengi walidanganyika na kilimo na kuwaelekeza watoto wao kwenye kilimo na kupuuza shule na sasa hatujui wale watoto wako wapi kimaisha! Tangu lini masikini akakombolewa na jembe? Kama alivyosema mdau hapo juu ni project za watu fulani kutumia nguvu za wanyonge isivyo halali! Bongo tunahitaji toba!
ReplyDeleteWewe Mon Oct 08, 07:11:00 PM 2012, hata mwisho wa wiki? Kuna ubaya kuwaelekeza watoto kuhusu kilimo? Ama kweli....
ReplyDeletesesophy