Watoto ambao majina yao hayakufahamika mara moja wakiwa wametoka shambani kuendelea kauli mbiu ya Kilimo Kwanza iliyotolewa na Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kilimo kwanza si ya mtu fulani jamani.

    ReplyDelete
  2. Shenzi kabisa! badala ya kupeleka watoto shule wanawashikisha majembe! Nakumbuka miaka ya 70 na 60 wazee wengi walidanganyika na kilimo na kuwaelekeza watoto wao kwenye kilimo na kupuuza shule na sasa hatujui wale watoto wako wapi kimaisha! Tangu lini masikini akakombolewa na jembe? Kama alivyosema mdau hapo juu ni project za watu fulani kutumia nguvu za wanyonge isivyo halali! Bongo tunahitaji toba!

    ReplyDelete
  3. Wewe Mon Oct 08, 07:11:00 PM 2012, hata mwisho wa wiki? Kuna ubaya kuwaelekeza watoto kuhusu kilimo? Ama kweli....


    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...