MAGDALENA RWEBANGIRA KUTOKA (TAWLA) AKICHANGIA MADA YA PILI AMBAYO NI UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAENDELEO YA MWANAMKE WAKATI WA KONGAMANO  LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA LILILOFANYIKA  NDANI YA UKUMBI WA BLUE PEARL,UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM.KONGAMANO HILI LA SIKU TATU LINAHUSISHA WANAWAKE TOKA SEHEMU TOFAUTI NCHINI WENYE KAZI NA NYADHIFA TOFAUTI KUANZIA WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WANAHARAKATI  NK
 MAMA GETRUDE MONGELA (KUSHOTO) AKIWA KATIKA MAZUNGUMZO NA WAKILI MAGDALENA RWEBANGIRA (KATIKATI) NA MSHIRIKI MWINGINE WA KONGAMANO HILI.
 HAYA NI MALENGO YA KONGAMANO HILI YAKINAKILIWA
 KILA ALIYEHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI ANAWEZA FUATILIA VYEMA KONGAMANO HILI, WENYE ULEMAVU WA UZIWI NAO WANAELEKEZWA NA KUFUATILIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naona jinsi Kiswahili kinavyoenziwa na wachangiaji wote.

    ReplyDelete
  2. Kwenye kutoa maoni sioni akina mama wa kiislamu wao wapo kwenye taarabu na sherehe za viongozi tuu.Ndio maana mnaachwa na katiba haiwatetei.

    ReplyDelete
  3. wewe nawe unayezungumzia akina mama wa kiislam, hapo kwenye picha kuna onekana hao waislama wameshiriki au macho yangu tu? na una uhakika gani kwamba hawakutoa maoni yao, Hovyoooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...