MAGDALENA RWEBANGIRA KUTOKA (TAWLA) AKICHANGIA MADA YA PILI AMBAYO NI UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAENDELEO YA MWANAMKE WAKATI WA KONGAMANO LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA LILILOFANYIKA NDANI YA UKUMBI WA BLUE PEARL,UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM.KONGAMANO HILI LA SIKU TATU LINAHUSISHA WANAWAKE TOKA SEHEMU TOFAUTI NCHINI WENYE KAZI NA NYADHIFA TOFAUTI KUANZIA WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WANAHARAKATI NK
MAMA GETRUDE MONGELA (KUSHOTO) AKIWA KATIKA MAZUNGUMZO NA WAKILI MAGDALENA RWEBANGIRA (KATIKATI) NA MSHIRIKI MWINGINE WA KONGAMANO HILI.
HAYA NI MALENGO YA KONGAMANO HILI YAKINAKILIWA
KILA ALIYEHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI ANAWEZA FUATILIA VYEMA KONGAMANO HILI, WENYE ULEMAVU WA UZIWI NAO WANAELEKEZWA NA KUFUATILIA







Naona jinsi Kiswahili kinavyoenziwa na wachangiaji wote.
ReplyDeleteKwenye kutoa maoni sioni akina mama wa kiislamu wao wapo kwenye taarabu na sherehe za viongozi tuu.Ndio maana mnaachwa na katiba haiwatetei.
ReplyDeletewewe nawe unayezungumzia akina mama wa kiislam, hapo kwenye picha kuna onekana hao waislama wameshiriki au macho yangu tu? na una uhakika gani kwamba hawakutoa maoni yao, Hovyoooo!
ReplyDelete