Mwalim Julius Kivelia wa Chuo kikuu cha Dar es salam chini ya kitengo DTU akifahamisha kitu kwa Maafisa mipango wa Wizara mbali mbali za (smz)huko Chwaka chuo cha uongozi wa Fedha.
Baadhi ya Maafisa Mipango kutoka Wizara mbalimbali wakimsikiliza Mkufunzi katika mafunzo ya Uhamasishaji wa Watu kuhusu idadi ya Watu yaliofanyika Chwaka chuo cha uongozi wa Fedha.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiza kwa makini Mwalim Julius Kivelia wa Chuo kikuu cha Dar es salam chini ya kitengo DTU katika mafunzo ya Uhamasishaji wa Watu kuhusu idadi ya Watu huko Chwaka chuo cha uongozi wa Fedha.
Bi Hindi Nasoro Hatib ambae ni Kamishna wa Fedha za nnje(Chini ya ofisi ya Rais Fedha uchumi na mipango ya maendeleo)Akifungua mafunzo ya siku 4 kwa Maafisa mipango wa Wizara mbali mbali za (smz)huko Chwaka chuo cha uongozi wa Fedha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...