Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo  ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,  Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...