Mgeni Rasmi katika Hafla ya Kuwakaribisha Warembo wanataoshiriki kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 katika  Mji wa Monduli,Mama Regina Lowassa akiwaasa warembo hao juu ya wao kujiheshimu na kuliheshimu shindano hilo.

 Mkurugenzi wa Rino Agency ambao ni waandaaji wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya E'Manyata,Monduli.Kulia kwake ni Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mama Regina Lowassa,Dada Mkubwa wa Mh. Lowassa Mama Kalaine Lowassa pamoja na Meya wa Monduli,Mh. Kadogoo.

Dada mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa,Mama Kalaine Lowassa (kulia) pamoja na Mke wa Mh. Lowassa,Mama Regina Lowassa wakishirikiana kwa pamoja kuwavisha mavazi ya kimasai warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 waliotembelea Mji wa Monduli,jijini Arusha.

 Viongozi wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania,toka kushoto ni Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania,Albert Makoye,Afisa Habari wa Miss Tanzania,Ricco Hiden,Katibu Mkuu wa Miss Tanzania,Bosco Majaliwa pamoja na Miss Tanzania 2012, Salha Israel.

 Mgeni Rasmi,Mama Regina Lowassa akiwa na Uongozi wa Kamati ya Miss Tanzania na Viongozi wa Mji wa Monduli pamoja na Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012.

kwa picha zaidi
au 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bora mama Lowassa umewavalisha nguo!!!????

    ReplyDelete
  2. mkiwavalisha mavazi ya kimasai watu hawasemi. ila wavalishwe mengineyo utaona unafiki wakitanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...