Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI Mhe.Said Suleiman Said
ambaye pia ni Mbunge wa Mtambwe, akipokelewa na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi na Idara ya Magereza wakati yeye na wajumbe wenzake walipotembelea
Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja akitoa maelezo kwa wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nchi
wakati walipotembelea Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakishiriki katika Kikao cha wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI waliotembelea Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Mhe. Hamood Jumaa, ambaye pia ni
Mbunge wa Kibaha Vijijini akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima wakati Kamati
hiyo ilipotembelea maeneo mbalimbali ya Gereza Kuu la Ukonga, jijini Dar es
Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...