Mdau Matina Nkurlu wa Vodacom Tanzania na mai waifu wake,Rachel Sindbard wakiwa katika Pozi moja baada ya lingine wakati wa kutafuta taswirazz zilizobomba,mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka katika kanisa la KKKT Mbezi Beach,jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Home
Unlabelled
mdau Matina Nkurlu na Rachel Sindbard walivyomeremeta jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Bi harusi mrembo n portable..hope hutajiachia thereafter..mana kama alikupendea u portable ukianza nenepeana ,warembo wa voda watakusaidi!!1chezeaaaaaaa
ReplyDeleteWazuri na wamependeza. Asante Mungu kwa mapaji yako kwetu.
ReplyDeleteSindbad the sailor?
ReplyDeleteAnyway hongereni kwa kupiga hatua moja mbele, na hasa binti umependeza sana.
Hongereni sana,mmependeza sana na picha zenyewe "kiwango".Kila la kheri mbele ya hii safari ndefu yenye kila aina ya mikiki mikiki;
ReplyDeleteDavid V
Duu alikuwa bado hajao????, huyu jamaa nakumbuka akiwa form six Umbwe mimi nilikuwa form1.
ReplyDelete