Mdau Matina Nkurlu wa Vodacom Tanzania na mai waifu wake,Rachel Sindbard wakiwa katika Pozi moja baada ya lingine wakati wa kutafuta taswirazz zilizobomba,mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka katika kanisa la KKKT Mbezi Beach,jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bi harusi mrembo n portable..hope hutajiachia thereafter..mana kama alikupendea u portable ukianza nenepeana ,warembo wa voda watakusaidi!!1chezeaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Wazuri na wamependeza. Asante Mungu kwa mapaji yako kwetu.

    ReplyDelete
  3. Sindbad the sailor?

    Anyway hongereni kwa kupiga hatua moja mbele, na hasa binti umependeza sana.

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana,mmependeza sana na picha zenyewe "kiwango".Kila la kheri mbele ya hii safari ndefu yenye kila aina ya mikiki mikiki;

    David V

    ReplyDelete
  5. Duu alikuwa bado hajao????, huyu jamaa nakumbuka akiwa form six Umbwe mimi nilikuwa form1.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...