Mimi  Rahma T. Ali, mwananfunzi wa International Medical and Technological University (IMTU), naomba unisaidie kuweka tangazo langu katika blog yako.

Nimepoteza wallet  yangu maeneo ya Muhimbili hospitali. Wallet hiyo ilikuwa na fedha kidogo (15,000 Tsh) na “documents” zangu muhimu zifuatazo. 1. ATM cards mbili (2 ) za NBC,  2. Kitambulisho cha Bima ya afya (NHIF), 3. Kitambulisho cha ukaazi cha Zanzibar  4. Kitambulisho cha uwanafunzi cha IMTU na 5 Picha aina ya passpot size mbili (2).

Hivyo basi kwa heshima kubwa, naomba mtu yoyote atakae iona/okota wallet yenye vitu hivyo au baadhi ya vitu hivyo awasiliane nami kwa  +255659891110 au aviwasilishe idara ya masikio, pua na koo "Department of ENT" hapo muhimbili hospitali.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Mimi Rahma, T. Ali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...