Profesa Anna Tibaijuka, Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi akitia saini kitabu cha wageni Ubalozini, yupo nchini Sweden kwa ziara ya kikazi ya siku tano akiambatana na Maafisa waandamizi wa Wizara yake ambapo pamoja mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa ikiwa ni pamoja na Mhe. Gunila Carlsson-Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa, Mkurugenzi Mkuu wa Stockholm Environment Insititute. Mkurugenzi Mkuu wa SIDA, Secretary-General wa IDEA (International Institute for Democracy and Electoral Assistance, na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Land Survey, ambapo atawasilisha mada "Recent trends in land issues in Tanzania and discussion about interest for cooperation with Sweden.
 Mhe. Anna Tibaijukam Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi akitia saini kitabu cha wageni Ubalozini, akiwa na balozo wa Tanzania nchini Sweden, Mhe  muhammed mwinyi mzale
 Mhe. Anna Tibaijukam Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwa anazungumza akiwa na balozi
wa Tanzania nchini Sweden, Mhe  muhammed mwinyi Mzale pamoja na maafisa wa ubalozini hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...