Urban Pulse Creative inawaletea sehemu ya Pili Video ya Hotuba kutoka kwa Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mizengo Pinda alipokuja Uingereza ili kukutana na kuongea na watanzania tarehe 15.10.12 katika ofisi za Ubalozi wetu London.
Urban Pulse Creative


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...