Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dar Young AfricanOctober 31, 2012

    Huyu anajiita mshabiki wa Yanga tuu, lakini huyu siyo Dar-es-salaam Young African. Anayo timu yake huko kwao alikotoka ingawa anaikataa tuu.
    Mshabiki wa Yanga gani hajui kiswahili wakati Yanga ni timu ya waswahili.

    Support your home team.

    ReplyDelete
  2. Bange mbaya bange mbaya, acheni vuta kijiti, na mdau anayempiga jamaa dongo mbono mnao wasahbili wa Man U, Chelsea nk huko bongo, wewe unafikiri zungu huku wanawajua ninyi mashibiki wa bongo? au wanaona njaa kali tu hii mipingo choka mbaya!

    ReplyDelete
  3. Bahati nzuri nchi yetu mashabiki ni kama huyu jamaa, ingekuwa Senegal au UK uonevu anaosema wa timu yake tungezungumza mengine sasa. Nilipita soko la kisutu siku moja baada ya Yanga kufungwa tano na Simba nilimkuta shabiki wa Yanga akiwa na hali ngumu sana. Ni kweli anayosema huyu shabiki kwamba leo akirudi nyumbani atakuwa na wakati mgumu kwa watani wake. Wakati umefika waamuzi wachunguzwe ili mambo kama haya yasitokee. Pole mshabiki wa Yanga.

    ReplyDelete
  4. Jamaa jinga sana, kwanza hata kuongea kiswahili sawasawa hawezi. Kuna utaratibu kama timu imeonewa na refa na wahusika wa timu wanakata rufaa. Huyu jamaa ni bwege sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...