Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kumsimamisha kazi peke yake haitoshi. Kama amekutwa na hatia ashitakiwe na aadhibiwe ipasavyo. Ndio maana Tanzania watu wanafanya wanachotaka because they know they can get away with it with no harm. Ashitakiwe, adhibiwe, ili awe mfano.

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu wa hapa juu! Kiini macho hiki! Katolewa kafara! Si haba viongozi Wabunge na wengine walivyokuwa wanafyonza, naye kiubinadamu akajitwalia kipande chake. Kosa ndiyo. La; waanze na wabunge waliyofanya biashara na TANESCO na hata ku supply bidhaa nusu na kulipwa full!Aliyeithinisha malipo full naye aingie kikaangoni

    ReplyDelete
  3. lol, kiini macho, hapa kesho utaskia huyu huyu jamaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa kampuni nyingine ya serikali :) go figure.

    $D

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...