Naomba msaada wadau
Nimepoteza wallet yangu maeneo ya Muhimbili hospitali. Wallet hiyo ilikuwa na fedha kidogo (15,000 Tsh) na "documents" zangu muhimu zifuatazo. 1. ATM cards mbili (2 ) za NBC, 2. Kitambulisho cha Bima ya afya (NHIF), 3. Kitambulisho cha ukaazi cha Zanzibar 4. Kitambulisho cha uwanafunzi cha IMTU na 5 Picha aina ya passpot size mbili (2).
Hivyo basi kwa heshima kubwa, naomba mtu yoyote atakae iona/okota wallet yenye vitu hivyo au baadhi ya vitu hivyo awasiliane nami kwa au aviwasilishe idara ya masikio, pua na koo "Department of ENT" hapo muhimbili hospitali.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Mimi Rahma T. Ali



Mhh na skukuu hii...Pole sana bi Rahma Mungu atajaalia utavipata.
ReplyDeleteBi. Rahma T.Ali pole na Masahibu yaliyokupata!
ReplyDeleteInshallah Mwenyezi Mungu atakuwezesha kuvipata tena.