Mkuu wa Ukuzaji Biashara ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jackson Kiswaga akimkabidhi mkurugenzi msaidizi wa ofisi ya waziri mkuu Ezamo Maponde zawadi ya Moderm ya Intanet wakati wa uzinduzi wa wiki ya Huduma za kifedha kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakitoa maelezo kwa wateja waliohudhuria uzinduzi wa wiki ya Huduma za kifedha kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...