Naibu Waziri Wizara ya Fedha Mhe. Saada Salum  akiongea na viongozi na watendaji wa TRA Arusha. Kushoto kwa Mhe. Naibu Waziri ni Meneja Mkuu wa TRA, Mkoa wa Arusha Bw. Kilevya. Mhe. Saada Salum yuko katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...