Home
Unlabelled
Nani kuibuka kidedea leo??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YANGA S.C ndio zaidi
ReplyDeleteBao la matokeo hiyo saa 2:30 usiku filimbi ya mwisho ikipulizwa kuashiria kumalizika mpira litasoma:
YANGA S.C-1936
SIMBA S.C-0
Hapo ndio kusema tutashuhudia kwa mara ya kwanza mabao sawa na mwaka wa kuzaliwa kwa Klabu ya simba?
Yanga BUNDUKI KUBWA!
ReplyDeleteMnyama anaelekezwa Kibla na analiwa supu ya jioni kwa chapati laini!!!
Mimi nitawahi maini na ulimi wa mnyama !
Mimi Masai nasema, pale kwa Boma yetu ile Simba sisi ni adui yetu kuuuba kabisa nakula ng'ombe setu.
ReplyDeleteIle naona Simba nakuja kwa Boma ya ng'ombe nachukua sime nakata kichwa shwaaaa!
Ni hifi mimi Laisa Ole Naikiyo nasema eee?
ukiona manyoya leo ushiku saa bili na nusu usiulise!
kamua Simba Kamua...Simba 2 -Yanga 1
ReplyDeletekwa hio Yanga wamelala Tena