Home
Unlabelled
SAMBA MAPANGALA RELEASES NEW SONG FOR KENYA ELECTION
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KENYA:
ReplyDeleteTupo na ninyi kwenye Umoja wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, hii ina maana tumeunga undugu zaidi ya ilivyokuwa kabla licha ya undugu wetu wa Kiasilia baina yetu.
Hivyo basi, lenu ni la kwetu na la kwetu ni lenu pia!
Tafadhalini sana mdumishe amani na Mchaguane kwa amani Uchaguzi Mkuu Machi-2013!
Kuna sababu ya aibu kubwa ya Uchaguzi uliopita 2007-2008 kujirudia tena?
HUYU JAMAA ANATISHA. YUPO JUU ALWAYS. MESSAGE TO KENYANS LISTEN
ReplyDeleteThis is a Congolese preaching PEACE to Kenyans! Message sent majirani zetu
ReplyDelete