Meneja wa Tawi la NBC Mnazi Mmoja, Judith Motta (kulia) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Kidaki Ndege Sospeter jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Chang’ombe, Blessing Kijalo (kulia) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Joseph Saindani Nyilenda jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari.
Mmoja wa washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC,Joseph Saindani Nyilenda akionyesha zawadi yake ya fedha taslimu mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa Mahusiano wa Benki ya NBC, Eddie Mhina akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...