Eng. Patrick Mfugale, Mtendaji Mkuu wa TANROADS na Mwakilishi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation wakitia saini mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kilombero la urefu wa meta 384 na barabara zake za maingiliano km 9.142 wanaoshudia ni Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Ujenzi (katikati), kulia Balozi Herbert Mrango, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, kushoto kutoka Waziri ni Mhe. Innocent Kalogeris Mbungu Morogoro Kusini, pembeni yake ni Mhe. Abdulsalaam Amer, Mbunge wa Mikumi.
Home
Unlabelled
Ndoto wa Wananchi ya Wilaya ya Kilombero na Wilaya ya Ulanga yatimia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...