Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (wa pili kulia) akikabidhi vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya Bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula mkoani Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM, Alex Mpagama.
Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (katikati) akikabidhi vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya Bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula mkoani Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM, Alex Mpagama.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...