Tangazo la Ndovu Special Malt la 3D…Ni la kwanza Tanzania. Kama upo Dar, nunua gazeti la Guardian utakuta miwani ya 3D itakayokuwezesha kuliona tangazo hili kwa 3D na kama upo Mikoa mingine, nunue gazeti la Nipashe na utakuta miwani ya 3D ya Ndovu Special Malt,ambapo utaweza kuona tangazo hili kwa uhalisia wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mwanamke mbona hajasika bia au mlokole

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...