Kwa Kimombo inasemwa "A stitch in time saves nine", wenye uwezo wa kutafsiri msaada tutani
Sehemu ya mnara wa Nyerere Square umeshaanza kubanduka. 
 Kibao hakisomeki




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. STITCH IN TIME SAVES NINE=It's better to deal with a problem at an early stage, to prevent it from getting worse..............KWA PWANI TWASEMA UZIPOZIBA UFA UTAJENGA....

    ReplyDelete
  2. Hivi unahabari kwamba hapa kwetu Tanzania ukishaondoka duniani,historia ulizoziacha huwa zinafutika,hata kaburi la Nyerere linatunzwa kwa vile liko karibu sana na familia,lingekuwa kinondoni aaaaa siku nyingi lingeshasahauliwa,mfano mzuri ni juzi kwenye kumbukumbu yake,utaona kabisa haikuwa na msisimko wowote,mazishi yaliandaliwa kwa gharama kubwa,lakini historia
    ya mwalimu yote zimebaki hotuba zake chache za udin,ukabila,rushwa ndio zinarudiwa kwenye maadhimisho,je ni hayo tu?na sio mwalimu tu hata karume,sokoine ndio kabisaaa,hata siku yenyewe wengi watanzania hawaijui,na watoto mashuleni hawamjui sokoine ni nani,utasifiwa sana unapozikwa baada ya hapo umesahaulika.Hii ndio Tanzania

    ReplyDelete
  3. Usipoziba ufa utajenga ukuta...safi sana, lakini usisahau kwamba kina cha matatizo hapa ni shoddy, substandard workmanship.The tiles here look egg-shell thin and I dont think damage was unpredictable in a high density traffic public area. Someone was cutting corners hapo awal.

    ReplyDelete
  4. Watanzania na Tiles kweli imekubali. Hapa mkandarasi wa uhakika angejua kuwa traffic ya watu itakuwa kubwa, na pia eneo lipo nje, kwa hivyo tiles hizi hazifai kabisa kutumiwa... Anyway, ndio kwetu huku, achachukua chake, anasubiri "repair contract"

    ReplyDelete
  5. Tafsiri yake ni kwamba 'mchina ni noma!'

    ReplyDelete
  6. Miradi yetu, lazima wakubwa washibie hapo. Mradi unabaki na masalia kama hivi. Patakarabatiwa, pindi cha juu kwa Mkubwa kikipatikana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...