Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akiwa na Mhe. Gunilla Carlson Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Sweden ofisini kwake jijini Stockholm. Waheshimiwa Mawaziri hao walizungumzia kumarisha uhusiano katika sekta ya ardhi. Profesa Tibaijuka yuko katika ziara ya kikazi nchini Sweden.
Home
Unlabelled
Profesa Tibaijuka akutana na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...