Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna K. Tibaijuka akitoa Mada kwenye Semina ya Bunge la Sweden kuhusu " THE CHALLENGE TODAY FOR WOMEN IN TANZANIA : THE CASE FOR WOMEN EMPOWERMENT MINISTRIES IN AFRICA" jana tarehe 25 Octoba, 2012 Mh. Tibaijuka alitoa mada hiyo kwenye semina ya kumbukumbu ya miaka 100 ya Barbro Johansson, Mama wa Kiswidi aliyekuja Tanzania mwaka 1946 kama mmisionari na kuanzisha shule ya mfano ya wasichana (BOFYA HAPA) Luguruni Estate, wadi ya Kibamba Wilaya ya Kinondoni , Dar Es Salaam
Home
Unlabelled
Profesa Tibaijuka atoa mada katika bunge la sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mama T natamanicku 1 NIFIKIE LEVEL YAKO. NSHAHANGAIKA JINSI YA KUKUPATA ANGALAU KWA USHAURI TU ILA IMEKUWA NGUMU SANA. I HOPE NAMI SIKU MOJA NITAKUWA PROF. UBARIKIWE MAMA
ReplyDeleteMdau wa Kwanza,
ReplyDeleteHuo ni mwanzo mzuri kwa kukunwa na maendeleo ya mmojawapo.
Majaaliwa ya kupata chochote iwe mali, madaraka , elimu na kinginecho hutegemea vitu vikubwa viwili
1.Mipango ya Mungu Muumba.
2.Jitihada Binafsi.
Kwa hivyo hujachelewa Muelekeee Muumba na pia ongeza bidii zaidi weka na malengo pia utafanikiwa na wewe kufikia hapo!
Anonymous wa kwanza Fri Oct 26, 12:16:00 PM 2012
ReplyDeleteWajuzi wanasema when DREAMS are implemented they always become REALITY!
Yaani ndoto zikitekelezwa hutoa Uhalisia.
Fanyia kazi hio kiu yako na wewe utafanikiwa!
Je uko tayari kunywa kikombe alichokunya Mama T, ili tu ufike hapo alipo au uwe kama yeye? Natumaini wewe ni mwanangu. Kweli Mama T ni role model, ila omba Mola akusaidie kufanikisha maendeleo yako aliyokusudia yeye Mola pindi ukiweka juhudi ipasavyo. Tena bila kuchemka katika uwajibikaji ngazi ya kaya na jamii ilimradi uwe Prof.
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza
ReplyDeleteMama T. kichwa umeme kali sana hii kichwa inaweza kuwasha taa za miji mikbwa yote duniani. Usijeukashangaa kwamba Prof T anakutakia kheri ufanye mengi zaidi kuliko aliyoweza kutimiza.
Kwa ushauri mtafute, ushauri