Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika  swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo

 Baadhi ya Waislamu  wakisikiliza Hotba,baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya  EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Swala ni Popote !

    Je, na Sheikh Farid na watu wake walioko ndani (Kwa Zanzibar ni Chuo cha Mafunzo/ Kizuizini) wamepewa muda wa Kuswali Idd huko Lupango?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...