Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Iddi katika Masjid Rajab kijijini kwake Msoga-Chalinze leo Asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walishiriki swala ya Iddi katika Masjid Rajab Kijijini kwake Msoga, kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi(picha na Freddy Maro)


safi sana hii kitu imekaa poa mtu kuenzi kwao.
ReplyDeletemdau NY
Idd Mubarak wana kijiji Msonga Chalinze - Bagamoyo pamoja na Rais Kikwete!
ReplyDeleteWewe msonga ndio wapi?Nakujua kwetu MSOGA
ReplyDeleteIMEKAA VIZURI SANA LAKIN MHESHIMIWA AWAHUBIRI SANA NDUGU ZETU WAISLAMU DHIDI YA UDINI,TUONE MAAFA YA UDINI NA UKABILA HUKO RWANDA NI MFANO TOSHA,MHESHIMIWA WANAOLETA CHOKOCHOKO ZA UDINI WAWEKE KIZUIZINI.TUSIWAONEE HAYA WATU WACHACHE WANAOTAKA KUTUGAWA.MUNGU IBARIKI AFRIKA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDelete