MTAALAMU WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL, DR. FERDINAND MASAU
AKIONYESHA MOJA YA KIFAA CHA KUTIBIA MAGONJWA HAYO KWA MMOJA WA
WATAALAM KUTOKA TEXAS. TAASISI HIYO YA TEXAS IMETOA MSAADA WA VIFAA
KADHAA VYA TIBA YA MOYO KA TAASISI MPYA YA MOYO ITAKAYOJULIKANA KAMA DR.
FERDINAND MASAU HEART INSTITUTE INAJENGWA ENEO LA MBWENI MPIJI, DAR ES
SALAAM.
MTAALAMU
WA TIBA YA MOYO DR. FERDINARD MASAU AKIWAONESHA WATAAMU WA MAGONJWA YA
MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL JENGO JIPYA LA TAASISI YA DR
FERDINAD MASAU HEART INSTITUTE LINALOENDELEA KUJENGWA MBWENI MPIJI
JIJINI DAR ES SALAAM, AWAMU YA KWANZA YA UJENZI ITAKAMILIKA MAPEMA
MWAKANI.


Hivi wadau ni lini na sisi tutaweza kutoa misaada kwenda nchi za magharibi? Je huo uwezekano unaweza kuwepo au nimechanganyikiwa.
ReplyDeleteKwanza huyu Dr. Masau alitakiwa apewe support kama muwekezaji.....serikali pamoja na muhimbili wamemfrustrate sana huyu Dr. Masau..shame upon those people...ana nia na vission pamoja na mission vilevile...atafika tu!
ReplyDeleteHivi huyu Dr.Masau si ndo yule alikuaga BONGE la mtu enzi zile?? Kulikoni??
ReplyDeletemkuu Anony Oct 08,10:22 PM swali lako ni zuri ujachanganyikiwa..lakini ujaliweka wazi msaada upi unauliza lini tutaupeleka magharibi? maana misaada tunayopokea sisi hipo nje ya uwezo wetu,Sasa swali lako limeficha udhaifu wako.utachotaka kusema hapa kuwa tunaomba sana misaada nje au? tunahitaji misaada kama hii ya kuchangia uduma za afya ya jamii na pia elimu,kwa maana hii kupokea misaada sio kosa
ReplyDeleteBravo Dr. Masau! I remember seeing your 2 page business idea in Houston bak in the early 2000s and you opening up the Heart Institute pale Kinondoni off of Tunisia road, and the frustrations thereafter with NSSF (I think)
ReplyDeleteWhat I fail to understand is why you cannot seem to link up with the various heart disease initiatives going on in TZ. Mengi has his named fter his late son; the Dar Rotary club has theirs; children and adults are still being ferried to India and elsewhere - is it very difficult to link up with these concerned parties?? I don't understand, really.
DR MASALU ANAPINGWA SANA HASA NA WIZARA YA AFYA KWA VILE ANATAKA KUKATA ULAJI WA WATU PALE WIZARANI NA HILO LIMEPELEKEA AKAHUJUMIWA NA KUFUKUZWA KWENYE JENGO PALE TAZARA MPAKA VIFAA VYAKE KUPIGWA MNADA.
ReplyDeleteANAPINGWA KWA SABABU KUPELEKA WAGONJWA NJE NI DEAL LA WATU NA KUNA WATU WANAJENGA NA KUSOMESHA WATOTO ULAYA KWA HILO, WENGINE NI 10% YA KUINGIZA NCHINI MADAWA YA MOYO.
SERIKALI IAMKE NA KUMSAIDIA ANA SAIDIA SANA NA MI NIMEWAHI KUTIBIWA NAYE NA MWANANGU PIA ANATIBIWA HAPO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA TUTAFIKA TUU
ReplyDeleteJamani doctor kama ni kweli haya yanayo andikwa nakushauri uende zako botswana ukaendeleza ndo to yako huko utafanikiwa achana na wajinga watanzania hawana shukurani kabisaa wala hawajaenda shule ndo maana
Wee anoy wa Tue Oct 09, 01:15:00 AM 2012.
ReplyDeleteUmeelewa sasa kwa nini nasema Dr anahitaji support na kwamba serikali imemfrustrate? I was not picking from your comment...!